HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 27, 2013

Eneo hili kwa Mishkaki ya Mbuzi,hapana chezeaaa

Saga saga ni eneo ambalo kwa sasa limekuwa maarufu sana kwa kuchoma nyama ya mbuzi,wasafiri wengi wanaotumia barabara kuu ya mkoa wa Morogoro kuelekea mikoa ya Iringa kabla ya kufika mbuga ya Mikumi, wamekuwa wakisimama hapo na kupata nyama choma kama inavyoonekanika pichani.
Mishikaki ya nyama ya mbuzi ikiwa kwenye hatua za mwisho ya kuiva ,mishikaki hiyo inauzwa kwa shilingi 3000 mmoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad