HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 29, 2013

Biashara yazidi shika kasi kwa wakazi wa Maeneo ya katikati ya Bagamoyo - Msata

Wafanyabiashara ndogo ndogo ambao pia ni  wakazi wa Maeneo ya katikati ya Miji ya Bagamoyo na Msata Mkoani Pwani,wakiwa wamepanga biashara zao katika moja ya soko dogo lililopo mbele kidogo ya Daraja la Mto Ruvu katika barabara mpya ya Bagamoyo - Msata kama walivyokutwa na Kamera yetu.Kiukweli kufunguliwa kwa Barabara hiyo kumewafanya wakazi wengi wa maeneo hayo kupata hafueni ya maisha kwa kuweza kuuza bidhaa zao mbali mbali kwa wapitaji wa njia hiyo na kujipatia fedha za kujikimu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad