HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 3, 2013

BARCLAYS TANZANIA YATOA SHS. 61 MILLIONI KWA BAYLOR TANZANIA KUSAIDIA VIJANA WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI (HIV/AIDS)

001Mkuu wa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa Benki ya Barclays Tunu Kavishe,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,wakati wa kukabidhi hundi ya Sh 61 Milioni kwa Chuo cha Utabibu  Baylor,ili kusaidia vijana wanaoishi na Virusi vya Ukimwi,kushoto ni Mkurugenzi wa Mradi wa Baylor Dk Lumumba Mwita.  002 Mkuu wa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa Benki ya Barclays Tunu Kavishe,akikabidhi hundi ya Sh 61 Milioni kwa Mkurugenzi wa Mradi wa Chuo cha Utabibu  Baylor Dk Lumumba Mwita(kushoto)wakati wa makabidhiano yaliyofanyika  jijini Dar es Salaam jana,ambapo fedha hizo zitasaidia vijana wanaoishi na Virusi vya Ukimwi. PICHA NA PHILEMON SOLOMON  WA FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad