Jamaa akionyesha umahiri wake wa kuendesha baiskeli huku akiwa kaangalia nyuma.
Taswira ya Mawe makubwa pembeni mwa barabara kuu itokayo Singida kwenda Tabora.
Kijiji cha Kitukutu.
Msitu wa Asili.
Bwana na Bibi wakielekea Mihangaikoni.
Mzigo ukisafirishwa.
Nguzo za Umeme zilizopangwa na kupangika.
Usafiri wa aina hii ndio unaotumika sana maeneo ya vijijini.
Mji wa Igunga mkoani Tabora.
Safarini kuelekea Nzega.
Kijiji cha Tinde mkoani Shinyanga.
Minazi ya pekee katika kijiji cha Tinde.
Hapa ni mwendo tuuuu....
No comments:
Post a Comment