Kamera yetu ilifanikiwa kuwanasa wakina Dada hawa,ambao ni wafanyakazi wa Halmashauri ya Mji wa Kigoma katika kitengo cha kusafisha mji,wakisaidiana kuvuta kokoteni lililokuwa limesheheni taka hizo.
No comments:
Post a Comment