HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 23, 2013

Mambo ya Kariakoo!

Pamoja na kuwepo kwa msongamano mkubwa wa magari kwenye eneo la Kariakoo kiasi cha watu kuona shida kutembea wakiwa na mizigo lakini hali ni tofauti kabisa kwa wasukuma mikokoteni hubeba mizigo mikubwa bila kuohofu usumbufu wa magari na msongamano wa watu pichani msukuma mkokoteni kwenye Mtaa wa Msimbazi Kariakoo.
Msukuma Mkokoteni huyu akipita kwenye Mtaa wa Msimbazi Kariakoo huku akiwa na shehena ya madumu matupu.
Mtaro wa maji taka kwenye eneo la Kituo cha mabasi yanayoelekea Sinza Mtaa wa Msimbazi ukiwa wazi bila ya mifuniko.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad