HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 23, 2013

Hivi huu Mchoro unaoonekana kwenye kibao hiki,Ndio unamaanisha kinachoonekana chini hapo??

Katika pita pita zangu za kama kama kama dawa,nilikatiza mtaa huu maeneo ya Mikocheni A na kukutana na hili ambali mpaka sasa jibu lake sijaweza kulipata,maana nikiangalia kwa makini mchoro uliopo kwenye kibao hiki sioni kabisa kama kuna sehemu umeonyesha kuweka vitu kama vinavyoonekana hapo chini.sasa sijui aliefanya kitendo hiki aliwaza nini??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad