HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 23, 2013

Ban Ki Moon ataka Mwaka 2013 uwe wa mtazamo mpya kuhusu DRC

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, akizungumza na Mabalozi wanaziwakilisha nchi zao katika Umoja wa Mataifa ( hawapo pichani) katika mkutano huo uliofanyika siku ya Jumanne, Ban Ki Moon alianisha vipaumbele vyake kwa mwaka 2013, miongoni mwa vipaumbele hivyo lipo suala la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo alisema mwaka huu wa 2013 lazima uwe na mtazamo mpya katika kukabiliana na hali ya DRC

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad