HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 12, 2012

WAREMBO WA REDD'S MISS DAR INTERCOLLE​GE 2012 WATEMBELEA DUKA LA SHEAR ILLUSIONS MLIMANI CITY, DAR

 Baadhi ya Warembo wa Redd's Miss Dar InterCollege wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembelea duka la Shear Illusions lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 Mmoja ya wafanyakazi wa duka la Shear Illusions la Mlimani City jijini Dar akitoa maelezo kwa warembo wa Redd's Miss Dar InterCollege.
Warembo wa Redd's Miss Dar InterCollege wakigawiwa zawadi na mwalimu wao Marlydia Boniface (wa kwanza kulia) ambazo walipewa mara baada ya kutembelea duka la Shear Illusions ambao ni wadhamini wa shindano hilo. Picha na Kajunason.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad