HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 1, 2012

Ujumbe Maridhawa kwa Kinadada

Wasichana eeeeeee! 

Hebu tuwekeeni Mazingira na sie Boyfriends zenu hapo mbeleni tuweze kuitwa Wenye Nyumba! 

Maana ukiangalia nauli peke yake ya Trip 1 ya Dubai ni sawa na kakipande ka ardhi (Kiwanja),Nywele za Brazilian ni sawa na mifuko 68 ya cement, Handbag moja ni sawa na matenki 10 ya Maji,Kiatu kimoja matata Roli moja la Mchanga,Blackberry Torch moja sawa na matofali 1500. 

Vitu vyote hivi vinatosha kabisa kuangusha ka Kibanda ka japo vyumba vitatu!

Ujumbe Huu ni kwa Hisani ya Mdau Arnold Kayanda.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad