HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 8, 2012

MECHI ZA KOMBE LA ULAYA NDANI YA LIBENEKE LA KANDANDA

Tovuti ya kandanda.co.tz itakuwa inakuletea matokeo, ratiba na habari kwa kila kinachoendelea katika michuano mikubwa inayonza leo hii huko Poland na Ukraine.

Tembelea tovuti hiyo mara kwa mara kupata Live matokeo katika ukurasa wa 90′ZONE, ratiba inapatikana hapa, pia unaweza pata habari katik ukurasa maalumu wa Euro2012 ndani ya Tovuti hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad