Askari wa Usalama barabarani akimtaka dereva wa Daladala hili kumpatia leseni yake ili aweze kuikagua kutokana na uzembe wa dereva huyo wa kusimama karikati ya makutano ya mtaa wa Azikiwe na Jamhuri kwa lengo la kupakia abiria,huku magari mengine yakiwa yamesimama kusibiri Daladala hilo liondoke.


sio mlungula huo??
ReplyDelete