Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa akionyesha mkoba wenye hotuba ya bajeti ya mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2012/13 leo mjini Dodoma kabla ya kuwasilisha.
Waziri wa Fedha,Dkt.William Mgimwa akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia Bungeni kusoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2012/13, Mjini Dodoma leo.
Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa akisoma bajeti ya Serikali ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma leo.
Wapiga picha wakigombea picha ya Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa wakati aliponyanyua mkoaba wa Bajeti ya Serikali ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma leo.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

mbona ziwa nyasa halitajwi kwa bajet mi ntahamia malawi
ReplyDeleteMheshimiwa Rais aliyewateuwa mawaziri wake atajua namna ya kufanya kwa sababu inathibitika katika bajeti hii kwamba amemteuwa waziri asiye na sifa ktk kitengo hicho bado madudu katika wizara nyingi tu, Mtaona.Ila wananchi wana lao ipo siku itatokea TAFRANI ya kimataifa katika bongo yetu ndipo dunia itaiita Tanzania BONGO.
ReplyDelete