HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 5, 2012

Athuman Hamis akutana na waandishi wa habari jijini Dar leo,Msaada wa hali na Mali unahitajika kwa ndugu yetu huyu

Mwanahabari wa siku nyingi wa kampuni TSN inayochapisha magazti ya Daily News na Habari leo,Athuman Hamis (katikati) amekutana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuzungumzia Mustakabali wa maisha yake kutokana na hali yake ya ulemavu alioupata kutokana na ajali ya gari miaka minne iliyopita.Kulia na Kushoto ni Wauguzi wake.

Fatilia taarifa yake hiyo katika video clip hizo hapo chini

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad