Ni jana tu tarehe 3 Mai 2012 Wanahabari walisherekea siku ya uhuru wa vyombo vya habari, lakini kazi yao kwa kweli ni si sawa na ule usemi wa waswahili usemao "Kisiki cha mwiba" ni "Mwiba" ,kama wanaonekana (pichani),Wazee hao wapo mstari wa mbele sehemu fulani ,hatujui wapi? labda wadau watusaidie.
Lakini pamba au viwalo vyao ni kuwataka ugomvi ! wapwa zao akina Ras na niini au ffu,Any way wazee wa Libeneke lazima wapewe hongera na pongezi na heshima za kila hali.
Libeneke oyeeeeeeeeeeee! labda si vibaya kuungana na kambi ya ffu kuwapigia saluti wakulu kazi wa libeneke www.ngoma-africa.com
No comments:
Post a Comment