HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 11, 2012

Wahusika Hili Tela Vipi??

 Hili Tela hapa linakaribia Mwezi sasa tangu liachwe na wenyewe kutokana na kuharibikwa kwa matairi yake,na hapo lililo limesheheni takataka lundo.sasa sijui ni kwanini wenyewe hawalifuati mpaka leo hii,kwani limekuwa ni kero kubwa kwa wakazi wa eneo hili la Mwananyala/Victoria,kwani hizo taka sasa zinatoa harufu mbaya sana kutokana na kunyeshewa na mvua zinazoendelea jijini Dar hivi sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad