HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 10, 2012

unaweza gundua nini kwenye picha hii??

2 comments:

  1. yaani hapa gari imeharibika kwenye 'Keep left' sasa hawa jamaa wa hiace na bajaji wamerahisisha safari yao kwa 'keep right' ambapo ni hatari sanaaa

    ReplyDelete
  2. Duh thtz jokin' hiyo si roundabout hahaha maajabu ya Tanzania kweli ajari hazitakwisha madereva hawajui roundbouts rules au ukichaa 2..hongera kwa taswira unique ya makosa ya barabarani umeweka kwenye media wahusika wanaona na watanzania wote wanaona lkn wanaishia kucheka 2 hakuna hatua inayochukuliwa.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad