Warembo wa Redd's Miss Ukonga wakiwa katika kambi yao ya mazoezi iliyopo Ukonga Hill Tech Bar maeneo ya Minazi Mirefu au maarufu Banana wakiwa kwenye mazoezi ya pamoja kujiandaa na siku ya fainali ya shindano lao siku ya jumamosi hii (Mei,5.2012) ambapo mshindi anatarajiwakuungana na washindi toka vitongoji vingine watakutana katika Kambi ya Redd's Miss kanda ya Ilala kabla ya kwenda kushiriki shindano la taifa la Redd's Miss Tanzania 2012.
Mmoja wa Washiriki wa Shindano hilo la Redd's Miss Ukonga akiongea na vyombo vya habari.
Warembo wakila tizi la kusakata dansi.
No comments:
Post a Comment