HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 9, 2012

Redd's Miss IFM kufahamika Mei 12 Cine Club jijini Dar

 Warembo watakaoshiriki kinyang'anyiro cha kumsaka Redd's Miss IFM 2012 wakiwa kwenye pozi la picha jioni ya leo kwenye ukumbi wa Break Point,Posta jijini Dar es Salaam,ikiwa ni maandalizi ya Shindano hilo linalotarajia kufanyika Mei 12,2012 katika viwanja vya ufukwe wa Cine Club jijini Dar.
 pozi la picha
 Mwalimu wa Warembo hao wanaojiandaa na shindano la Redd's Miss IFM,Ester Willson (kushoto) akitoa somo kwa washiriki hao wakati wa mazoezi ya kujiandaa na shindano hilo.
Picha ya pamoja na Mwalimu wao.

1 comment:

  1. Babu hivi ni nani aliyewaambia hawa kuwa na manywele marefu ndiyo urembo, halafu wala hawaelekei kusema za kweli ni wa kawaida sana, waandaaji inabidi wawe wakweli siyo kuwaongopea, mimi ningekuwa naswaambia tu wewe haufai kwenye umiss, yani wala siyo babu ndiyo maana hatushindi kwa kweli.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad