HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 19, 2012

MASHINDANO YA SAFARI LAGAR POOLTABLE KWA VYUO VYA ELIMU YA JUU YANAENDELEA LEO MKOANI IRINGA

Mchezaji wa Mchezo wa Pool kutoka Timu ya Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO) Mkoani Iringa ,Alen Masebo akijitayarisha kupiga mpira wakati wa mashindano ya mchezo huo kwa Vyuo vya Elimu ya Juu yanayoendelea hivi sasa katika vyuo mbali mbali nchini.Mashindano haya yanadhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari Lager.
Mchezaji wa Mchezo wa Pool kutoka Timu ya Chuo Kikuu cha Tumaini Mkoani Iringa,Raphael John akipiga mpira wakati wa mashindano ya mchezo huo kwa Vyuo vya Elimu ya Juu yanayoendelea hivi sasa katika vyuo mbali mbali nchini.Mashindano haya yanadhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari Lager.
Baadhi ya Viongozi wa mchezo wa Pool Mkoa wa Iringa pamoja na wahamasishaji wa mchezo huo katika Mkoa huo wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Naibu Meya wa Mkoa wa Iringa,Mh. Gervas Ndaki (kulia) akisalimiana na washiriki wa mchezo wa pool kabla ya kuanza kwa mashindano hayo yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari Lager.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad