HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 12, 2012

Libeneke la Mtaa kwa Mtaa ndani ya Mji wa Iringa leo

7 comments:

  1. Una sababu gani ya kujaza picha za iringa on the entire homepage????Ungeweka mbili then put a link to view all on separate page sasa blog yote umejaza pics za iringa na hamna chochote special,,,,you guys try to be real bloggers kama hamna cha kuweka leave it empty otherwise mnaboa!!!

    ReplyDelete
  2. Nashukuru sana kwa kutuwekea mandhali ya mji wetu
    wa Iringa umenifanya nikumbumbuke sana nyumbani
    Kamwene mbevali wanyalukolo mdau nipo nje ya nchi
    Marekani

    ReplyDelete
  3. Nashukuru sana kwa kutuwekea mandhali ya mji wetu
    wa Iringa umenifanya nikumbumbuke sana nyumbani
    Kamwene mbevali wanyalukolo mdau nipo nje ya nchi
    Marekani

    ReplyDelete
  4. Wee Anonymous May 13,2012 6:10 AM unaonekana hujui unaloliisema,na kama unakereka kwa kuwekwa picha za mji wetu na Mzee wa Mtaa kwa Mtaa.basi chapa mwendo,kwani Othman hajakulazimisha kuingia humu.Basi kwa taarifa yako hii ndio Maana ya Libeneke lake la Mtaa Kwa Mtaa kwani anatuletea mandhali na maeneo tofauti tofauti ya nchi yetu na kutukumbusha mengi katika maeneo hayo.

    Halafu inaelekea hujui nini Maana ya Blogu na ndio maana unakurupuka na kusema picha anazoweka Mzee wa Mtaa kwa Mtaa hazina maana.

    Libeneke la Mtaa kwa Mtaa hoyeeeeee........

    Mnyalu wa Iringa
    Marekani

    ReplyDelete
  5. brother tunashukuru kwa kazi zuuuuuuriiiiiii kabisa usimsikilize huyo jamaaaa,huenda yeye kwao sudan, ndo maana ka comend hivyo,BIG UUUUUPPPPPPPP SANA BRO, TONY, south africa

    ReplyDelete
  6. Inaonekana katikati ya Mji wa Iringa wanajitahidi kwa usafi! pongezi kwao watu wa Halmashauri ya Manispaa Iringa na wakazi wa Iringa Mjini kwa kwa ujumla. keep it up!

    ReplyDelete
  7. hata mimi naona ovyo kwa kweli sasa huu mji maana yake nini, mji wenyewe mbaya mkoa utakuwa huu si ora ungeweka Arusha.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad