HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 2, 2012

KUUCHAPA USINGIZI KWA NAMNA HII NI HATARI SANA

 Katika pita pita zetu mitaa mbali mbali mbali ya Jijini la Dar,kamera yetu ilimnasa jamaa huyu aliekuwa amekaa nyuma ya gari hii iliyokuwa imeshehemu kuku.akiwa ameuchapa usingizi kwa namna yake.jambo ambalo ni hatari sana kwa maisha yake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad