HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 4, 2012

Kamera Ya Mtaa Kwa Mtaa na Matukio Mbali Mbali ya jijini Dar leo

 Mahandaki Barabara ya Mwananyamala.
 Hapa kishalia na Dereva kaingia Mitini,si Msongamano huo wa Magari.
Kip Left imenoga hapa,na imepigwa utepe kusubiria ufunguzi maalum wa kuingozi fulani.
 Mtaa wa Kina nani hiii uonekanavyo leo.
 Bei ya Nyama Buchani ndio hii.
Ukiona Nyama mizinguo,kwa nje kuna vitu vya mboga za majani kama hizi.
 Ukiona Mboga za Majani pia ni yale yaleee.... basi chonga na hawa Jamaa wakuletee kitu cha Kambale wa Miferejini (ambapo hapa ndio wanawavua Kambale hao.)
 Shimozz kona ya Shoppers Plaza.
 Jamaa mwanzo aliingua shimoni humo,ila alifanya manduva hadi akatoka.na sasa anapita kwa umakini mkubwa.

Chaja ya Simu hiyo,hapo ni wewe tu na simu yako.maana hii inachaji hadi BB.
 Neno la Mtaani leo ni hili hapa.
 Mama ntinie wakiwajibika mchana wa leo.

Magomeni Mapipa.
 Chombo kikikata mitaa mchana wa leo.
Boda Bodaa.......
 Taka zikiwahishwa mahala.
Kufa Kufaana,jamaa wakijibebea mbao zilizokuwa zimewekwa kama kidaraja cha kuvuka ng'ambo ya pili ya Barabara hukuwa wakiwa hawana noma wala nini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad