Hali ya barabara hii ya Mtaa wa Moshi,Ilala jijini Dar imekuwa mbaya sana hasa kwa watu wanaopitia njia hiyo kuelekea sokoni ni tabu,wahusika walione tatizo hili.
Saturday, May 5, 2012

Home
Unlabelled
Hali Ilivyo Mtaa wa Moshi,Ilala Jijini Dar
Hali Ilivyo Mtaa wa Moshi,Ilala Jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment