HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 7, 2012

Grand Malt yapanda Miti U-DOM leo

Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam (kushoto) akipanda Mti  katika Eneo la Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (U-DOM) mjini Dodoma mapema leo asubuhi wakati wa zoezi la Upandaji Miti katika eneo hilo ikiwa ni sehemu ya Utunzaji wa Mazingira.
Muwakilishi wa Kampuni ya Bia nchini Kanda ya Kati,Nicksomn Tesha akipanda Mti  katika Eneo la Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (U-DOM) mjini Dodoma mapema leo asubuhi wakati wa zoezi la Upandaji Miti katika eneo hilo ikiwa ni sehemu ya Utunzaji wa Mazingira.
Mmoja wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha U-DOM,Josephat Lukaza akipanda Mti  katika Eneo la Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (U-DOM) mjini Dodoma mapema leo asubuhi wakati wa zoezi la Upandaji Miti katika eneo hilo ikiwa ni sehemu ya Utunzaji wa Mazingira.
Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam akigawa kishwaji hicho kwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma mara baada ya kazi nzito ya upandaji miti.
Mama Adam akimwagilia maji katika mti aliopanga.
Cheeeeeeeaaazzzzzzzz................
Kata Kiu na Grand Malt.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad