HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 19, 2012

Bonanza la Excel With Grand Malt 2012 lafana sana mjini Moshi jioni ya leo

 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joh Makini akiwaburudisha mashabiki wake kwa nyimbo zake mbali mbali wakati wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,Moshi mkoani Kilimanjaro jioni ya leo.
 Mratibu wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,Victor Ndunguru (kushoto) akikabidhi zawadi ya Box la Grand Malt kwa washindi wa Mchezo wa Kuvuta Kamba wakati wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,Moshi mkoani Kilimanjaro jioni ya leo
 Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Ushirika,Mjini Moshi wakishiriki kwenye mchezo wa kuvuta kamba. 
 Wadau mbali mbali wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi wakifatilia kwa makini Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,Moshi mkoani Kilimanjaro jioni ya leo 
Baada ya kazi sasa ni taswirazzzz.....

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad