HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 5, 2012

Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012 lafana sana mjini Morogoro leo

Mkurugenzi wa Campas ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA),Prof. Mzanila (kushoto) akikabidhi kombe kwa Nahodha wa timu ya Infomatic ya Chuo Cha SUA,Ally Tambala ambao ndio Mabigwa wa michezo ya Excel With Grand Malt 2012,iliyokuwa ikichezwa Chuoni hapo,ikiwa ni Bonanza la Ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012 lililofanyika jioni ya leo kwenye viwanja vya SUA,Mazimbu mkoani Morogoro.Katikati ni Meneja wa Kinywaji Cha Grand Malt,Consolata Adam.
Mabigwa wa Mchezo wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindabo ya Excel With Grand Malt 2012,timu ya Infomatic ya Chuo Cha SUA wakishangia ushingi wao kwa pamoja na Meneja wa Kinywaji Cha Grand Malt,Consolata Adam (katikati) na Mwanamuziki Joe Makini.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joh-Makini akifanya vitu vyake wakati wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindabo ya Excel With Grand Malt 2012 lililofanyika jioni ya leo kwenye viwanja vya SUA,Mazimbu mkoani Morogoro.
Meneja wa Kinywaji Cha Grand Malt,Consolata Adam akizungumza na Wanafunzi wa Vyuo vya Mzumbe na SUA,jioni ya leo.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joh Makini akiimba kwa pamoja na Mabingwa wa Mchezo wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindabo ya Excel With Grand Malt 2012 jioni ya leo kwenye viwanja vya SUA,Mazimbu mkoani Morogoro.
Michezo ya kuzungusha ringi kiunoni pia ilikuwepo.
Wakali wa Rap kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wakifanya vitu vyao.
Meneja wa Kinyaji cha Grand Malt,Consolata Adam akiongea kwenye bonanza hilo.Kulia ni Innocent Melleck na Kushoto ni Mdau Victor.
Wanafunzi wengi wa Vyuo hivyo walijitokeza kwenye Bonanza hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad