Kuna wimbo mmoja aliimwa mwanamuziki wa Bongo Fleva,afahamikae kwa jina la Khamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA kuwa alama kubwa ya Mjini ni NYUMBA HAIUZWI NA OGOPA MATAPELI na leo katika pita pita zangu nikakutana na moja ya Nyumba zenye maandishi ya namna hiyo na ndio nimeona nilete hapa ili wengi tuifahamu hii alama ya Mjini.
No comments:
Post a Comment