HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 4, 2012

AIRTEL ILIPODHAMINI LIVE SCREEN SIKU YA MECHI YA MAN U NA MAN CITY VIWANJA VYA BIAFRA

Mashabiki wa timu mbali mbali za ulaya wakifuatilia mtanange wa Manchester United na Mancherster City uliofanyika jumatano ya wiki hii katika viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na kampuni ya simu ya Airtel. Katika mechi hiyo Man City waliibuka kidedea cha kushinda kwa bao 1-0.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad