HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 7, 2012

wengi wajitokeza kuomboleza kifo cha Steven Kanumba jijini Dar leo

Picha ya Marehemu Steven Kanumba
 Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.
 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki,Mh. Samuel Sitta akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.
Ridhiwan Kikwete pia akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Mh. Iddi Azzan akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.

2 comments:

  1. Dah! kiukweli tumepata pigo kubwa sana kwenye tasnia ya filam,baada ya kuondokewa na msanii ambaye kiukweli alikuwa the namba 1 kwa ubora hapa Tanzania na hata Africa mashariki Mr Steven C. Kanumba.kilichobaki nikukaa chini na kumuombea kwa Mungu amsamee dhambi zake.Amina

    ReplyDelete
  2. www.ngg-newgenerationgroup.weebly.com

    ReplyDelete

Post Bottom Ad