kamera yetu iliwanasa mafundi hawa ambao ni wataalam wa kuziba viraka vya barabarani,wakiwa bize na kazi ya kuziba viraka barabara ya msasani ambavyo mpaka sasa havijazibika viruzi.sasa sijui walikuwa wanaziba nini??
Friday, April 20, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment