Ukiwa kwenye gari lako na ukafika sehemu ya Mataa ya kuongozea magari na kusimama kusuburi ruhusa ya kupita basi ni lazima ukutane na wafanya biashara ndogo ndogo maarufu kama Wamachinga ambao wanauza vitu vya aina mbali mbali.
Monday, April 16, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment