Mabalozi wa Kampuni ya Simu ya Nokia wakiwa katika harakati za kuwafikishia ujumbe wakazi wa jiji la Dar es salaam kwa kutumia vipeperushi juu ya uzinduzi wa simu mpya zinazofahamika kwa "NOKIA ASHA" ambazo zinapatikana madukani kuanzia sasa.Uzinduzi huo unafanyika leo kwenye ukumbi wa Club Bilicanas,Jijini Dar es Salaam.
Friday, April 27, 2012

Home
Unlabelled
UZINDUZI WA NOKIA ASHA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
UZINDUZI WA NOKIA ASHA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment