Majaji wa kusaka vipaji vipya vyaZiara ya washindi wa Kili Awards 2012 mkoani Dodoma, Joseph Haule, Henry Mdimu, Queen Darleen na Juma Nature. Mpambano unaendelea ambapo jioni hii watapatikana washindi watatu ambao watauwakilisha mkoa wa Dodoma katika Tamasha la washindi wa tuzo za Kilimanjaro za msimu huu litakalofanyika Jumamosi hii.
Wasanii
wanaochipukia kutoka mkoani Dodoma waliojitokeza katika ukumbi wa Club
84 katika usaili wa kuwa kati ya wasanii watakaotumbuiza kwenye tamasha
la ziara ya washindi itakayofanyika mkoani humo Jumamosi ya tarehe28
mwezi huu katika viwanja vya Jamhuri.
Mmoja
kati ya wakazi wa dodoma waliojitokeza kuwania kutumbuiza jukwaa moja
na washindi wa tunzo za kili za mwaka huu akifamyiwa intavyuu kuwania
nafasi hiyo ukumbi wa 84 mkoani Dodoma
Wengine
walikuja na vyombo vya ala, huyu akisaidiwa na muongozaji wa kipindi
kupata muziki mzuri mbele ya majaji ambao hawapo pichani pia.
No comments:
Post a Comment