Ujumbe wa Serikali ya Taifa ya Mpito ya Libya, ukiongozwa na Mheshimiwa Mahdi M Gaziri (watatu kushoto.), Mkuu wa Ofisi ya Mwenyekiti wa Serikali hiyo,ukiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete baada ya ujumbe huo kuwa umekutana naye Ikulu, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita (Picha na Ikulu)
Thursday, April 5, 2012

Home
Unlabelled
Ujumbe wa Serikali ya Mpito ya Libya wakutana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam
Ujumbe wa Serikali ya Mpito ya Libya wakutana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mheshimiwa, upo na wauwaji! Haya tuambie wamekuahidi nini?
ReplyDelete