Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Moro United, Omari Gae katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Jijini Dar es Salaam.Simba imeshinda bao 3-0.
Mshambuliaji wa timu ya Simba,Uhuru Suleiman (shoto) akichuana na beki wa Moro United, Salum Kanoni.
Wachezaji wa Simba wakiwa wamemuweka mtu kati Kocha wao, Milovan Cirkovic, baada ya kupata ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Moro United 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Kwa ushindi huu Simba imejitangazia ubingwa. Kinachosubiriwa ni mchezo wao wa kufunga ligi na Yanga.(Picha zote na Francis Dande).
No comments:
Post a Comment