HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 28, 2012

Shoo ya Diamond na Nyota Waziri yafana sana

 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Diamond akizikonga nyonyo za mashabiki wake kwa moja ya nyimbo zake usiku huu,kwenye hafla ya jioni ya washiriki wa Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini,iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
 Diamond akiendelea kutoa burudani kwa Mashabiki wake.
 Diamond akiwa amenyanyliwa juu juu na Madansa wake,ikiwa  ni sehemu Gold Crest,Jijini Mwanza.
 Diamond akigombewa na Mashabiki wake kama mpira wa kona.
 Mwanamuziki Mkongwe wa Bendi ya The Kilimanjaro a.k.a Wana Njenje,Nyota Waziri akiimba nyimbo yake ya Gere wakati wa hafla ya jioni ya washiriki wa Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini,iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza usiku huu.
 Nyota akiwataka wamenzi wa muziki wa Gere kutengeneza Duara ili kunogesha kucheza kwa muziki huo. 
 Burudani imekolea. 
 Msema Chochote kwenye hafla hii,Akiliwa ni Maulid Kitenge.
 Wadau.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad