HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 5, 2012

Rais Kikwete akutana na na Balozi wa UAE nchini pia aagana na Balozi wa Ireland

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Ireland anayemaliza muda wake nchini Mhe.Lorcan Fullam ikulu jijini Dar es salaam wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Ireland anayemaliza muda wake nchini Mhe.Lorcan Fullam baada ya Rais kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) Mhe.Mallallah Mubarak Alameri ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) Mhe.Mallallah Mubarak Alameri baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad