Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Unilever Global Bwana Paul Polman ikulu jijini Dar Es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Unilever Global Bwana Paul Polman ikulu jijini Dar es Salaam leo (picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment