Kamera ya Mtaa kwa Mtaa imemnasa mjamaa huyu maeneo ya Msasani akiwa ameuchapa usingizi kana kwamba yupo nyumbani kwake tena kwenye Godoro la Dodoma,baada ya kuukata ulabu maeneo ya jirani na huko.hali hii inalidhihirisha lile neno la wahenga kwamba pombe si chai.
No comments:
Post a Comment