HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 10, 2012

Mama salma Kikwete aomboleza kifo cha Kanumba pamoja na waombolezaji wengine jioni ya leo

 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Msanii nguli wa Filamu nchini,Marehemu Steven Kanumba aliefariki Dunia siku mbili zilizopita nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam.
 Mbunge wa Urambo Magharibi,Mh. Athuman Juma Kapuya akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Msanii nguli wa Filamu nchini,Marehemu Steven Kanumba aliefariki Dunia siku mbili zilizopita nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam.
 Mkongwe wa Muziki nchini,King Kikii akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Msanii nguli wa Filamu nchini,Marehemu Steven Kanumba aliefariki Dunia siku mbili zilizopita nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam.
 Mdau Iman Madega akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Msanii nguli wa Filamu nchini,Marehemu Steven Kanumba aliefariki Dunia siku mbili zilizopita nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam.
 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akikumbatiana na Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba wakati alipofika nyumbani hapo kwa ajili ya kuhani msiba huo,jioni ya leo.
 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akimfariji Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba,Nyumbani kwa Marehemu,Sinza Vatican jijini Dar jioni ya leo.Kushoto ni Dada wa Marehemu Steven Kanumba.
 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni,Dkt. Fenella Mukangara wakati alipofika Nyumbani kwa Marehemu Steven Kanumba kwa kuhani Msiba huo.Kushoto ni Mama Mzazi wa Steven Kanumba.
 Mama Salma Kikwete akisalimiana na Baadhi ya Waombolezaji wa Msiba wa Marehemu Steven Kanumba jioni hii alipofika kuhani msiba huo.
 Mama Mzazi wa Steven Kanumba.
 Mama Salma Kikwete akizungumza na Wasanii wa Bongo Movie jioni ya leo.

1 comment:

  1. Kweli watanzania wanapenda mambo ya hovyo kupita mambo muhimu! Who was Kanumba by the way? Acheni usanii hata hao viongozi na wake zao wanawafanyia usanii. Kuna mambo mengi muhimu ya kulifanyia taifa na siyo kuhudhuria misiba jamani.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad