HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 26, 2012

Libeneke la Mtaa kwa Mtaa ndani ya jiji la Mwanza leo

10 comments:

  1. Nimefurahia sana kuona picha za jiji la Mwamza,endelea kutuletea picha zaidi kama unazo.
    Ngosha!

    ReplyDelete
  2. Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanzaaaaaaaaaaaaa!!!! Rock city

    ReplyDelete
  3. umesahau kuweka picha za bismark rocks,mambo ya rock city bwana

    ReplyDelete
  4. Ningependa sana nipata nafasi Mwanza au kununua nyumba Mwanza, je, naweza kupata? kwa sababu ni natural place!

    ReplyDelete
  5. wabeja mayu. .Tulelora ng'wanza wameriiwa.

    ReplyDelete
  6. good tuzidi kuona miji yetu ya bomgo

    ReplyDelete
  7. wabejaaa gete gete, wajameniii umesahau kutoa picha ya samaki kamanga na mwaloni basiii ungewaringishia hata yule wa pale pita kushotoooo anayetema maji tehhhee tehhee

    ReplyDelete
  8. UNAENDA MWANZA HUJAENDA KULA MISHKAKI YA UTUMBO LAKAIRO, AU HUJAENDA KULA SAMAKI TILAPIA NIMEPAPENDA SANA MWANZA MIMI NIMEZALIWA DSM NLIKUWA SIJAWAHI KUFIKA MWANZA NIMEENDA MWEZI ULIOISHA KWA MAPUNZIKO SIKUAMINI KAMA NI PAZURI KIASI HIKI, HALI YA HEWA NI NZURI SANA, WATU NI WAKARIMU HAWANA WIZI WA KIJINGA KAMA DSM UNA PAKI ARI BILA WASI WASI, HAKUNA FOLENI KAMA DSM
    MWANZA RAHA SANA

    ReplyDelete

Post Bottom Ad