HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 3, 2012

Konyagi yamwaga vyereani kwa vikundi vya kinamama wa mkoa wa mbeya

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Konyagi Nchini,David Mgwasa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam kwenye hafla fupi ya kukabidhi vyerehani kwa Mbunge Viti maalum Mkoa wa Mbeya,Dr Marry Mwanjelwa (kulia) kwa ajili ya vikundi vya akina mama wa Mkoa wa Mbeya.
Mbunge Viti maalum Mkoa wa Mbeya,Dr Marry Mwanjelwa (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam muda mfupi baada ya kupokea vyerehani kwa ajili ya vikundi vya akina mama wa Mkoa wa Mbeya ikiwa ni msaada uliotolewa na Kamkuni ya Konyagi nchini.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Konyagi Nchini,David Mgwasa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad