HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 29, 2012

Kili yaendelea kusaka Vipaji jijini Mwanza leo

 Jaji wa kusaka vipaji vipya kwa wasanii wachanga wa jijini Mwanza,kufuatia Ziara ya washindi wa Tuzo za  Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012,Juma Natute (pili shoto) akitoa maelekezo kwa washiriki hao wakati wa Zoezi hilo linaendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Klabu ya Villa Park,Jijini Mwanza.Majaji wengine ni Henry Mdimu (kushoto),Queen Darleen (pili kulia) pamoja na Joseph Haule.
 Jaji Henry Mdimu (shoto) akiwaga cheche zake kwa washiriki hao.
 Jaji wa kusaka vipaji vipya kwa wasanii wachanga wa jijini Mwanza,kufuatia Ziara ya washindi wa Tuzo za  Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012, Joseph Haule a.k.a Prof J akiwasihi washiriki hao kuwa makini na kile kinachotakiwa kufanyika na si mambo ya kujaribu jaribu.Zoezi hilo linaendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Klabu ya Villa Park,Jijini Mwanza.Majaji wengine,Queen Darleen (pili kushoto),Juma Nature pamoja na Henry Mdimu.
Washiriki wa zoezi la usakaji wa vipaji vipya kwa wasanii wachanga wa jijini Mwanza,kufuatia Ziara ya washindi wa Tuzo za  Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012 wakionyesha uwezo wao mbele ya Majaji.
Baadhi ya Washiriki wa Zoezi hilo wakisubiria kuitwa na majaji kwa ajili ya kufanyikwa usaili.
 Baada ya awamu ya kwanza ya Zoezi hilo la Usaili,sasa Msosi time na timu nzima ya waendeshaji wa zoezi la kusaka vipaji vipya kwa wasanii wachanga wa jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad