Maana nipo Barabarani kuanzia saa kumi na moja jioni lakini mpaka sasa hata katikati ya jiji la Dar sijafanikiwa kutoka na gari ishawaka taa ya kiwese na kila sheli niendayo hapa mjini na kidumu changu naambiwa hakuna kiwese.yaani hapa nahisi kudata maana sijui likibuma hali itakuwaje na kipini hiki
Wednesday, April 11, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment