Habari iliyotufikia usiku huu toka vyanzo mbali mbali vya uhakika,inaeleza kuwa muigizaji wa tasnia ya filamu nchini,Steven Kanumba amefariki Dunia Ghafla usiku huu akiwa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili.
taarifa kamili itawajia baadae,hivyo tuvute subira.
No comments:
Post a Comment