Wakina Mama wanaojihusisha na Shughuli ya kuomba omba kwenye mitaa na maeneo mbali mbali ya jijini Dar es Salaam pamoja na watoto zao wakiwa wameweka kambi ndogo katika kivuli cha mti maeneo ya Faya,Kariakoo mapema leo asubuhi kama walivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa.Kila mama hawa ambao wengi wao ni wenye uwezo mzuri tu wa kufanya kazi mbali mbali wamekuwa wakizagaa zagaa kila kona ya jiji la Dar huku wakiendelea na shughuli yao hiyo ya kuomba omba.
No comments:
Post a Comment