Sehemu maalum iliyoandaliwa na kupambwa na Red Carpet kwa ajili ya hafla ya uzinduzi wa kipindi kipya cha Ongea na Janet uliofanyika Chichi Hoteli Kinondoni jijini Dar es Salaam. Kipindi hiki kitakuwa kikirushwa na Clouds TV kila siku ya Jumatatu Saa tatu kamili.
Mtangazaji wa Kipindi cha Ongea na Janet Bi. Janet Sostenes Mwenda Talawa akielezea madhumuni ya kipindi hicho na changamoto anazo kabiliana nazo wakati wa utayarishaji ambapo pia amewataka watu binafsi, kampuni na wapenda maendeleo kujitokeza kutoa udhamini ili kufanikisha lengo lililokusudiwa.
Isack Gamba wa ITV/ Radio One akibadilishana mawazo na Mr. Donald Talawa.
Msosi time.
Marafiki wa Karibu wa Janet.
No comments:
Post a Comment