HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 17, 2012

ujio mpya wa libeneke la Elimu Bora

Tovuti iliyokuwa ikiitwa www.elimubora.com kwa sasa inaitwa www.elimuboratanzania.blogspot.com

Hivyo kama mtu ana taarifa au picha yoyote kuhusiana na elimu ikiwamo maafali, michezo, concert, midahalo na chochote kile atume katika evancengingo@yahoo.com au elimuboratanzania@gmail.com.
Tushirikiane kuboresha elimu nchini kwetu.

Contact +255 714 43 65 94

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad