HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 9, 2012

TAARIFA ZA AROBAINI YA LETICIA D. LUSALA

Marehemu Leticia Daudi Lusala (Mama Lusala)

Familia ya Bwana H.C. Lusala wa Sinza A,Jijini Dar es Salaam inapenda kuwakaribisha ndugu jamaa na marafiki kwenye arobaini ya Marehemu Leticia Daudi Lusala (Mama Lusala) aliyetuacha tarehe 23 January mwaka huu. 

Arobaini itafanyika nyumbani kwa familia Sinza A kwa mkesha 09 March 2012 na kufatiwa na misa itakayofanyika saa 2:30 asubuhi ya tarehe 10 March, 2012 katika kanisa katoliki Parokia ya Sinza. 

Mama Lusala alipenda watu na hii itakua shughuli ya wapenzi wake kumtakia safari njema na mapumziko mema. Mungu ni mwenye Heri na mwenye Huruma tele.

- Amina

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad